Msaada: Ukungu ndani ya Flat Screen

pex

Member
Nov 20, 2009
57
13
Habari wadau!
Nina flat screen yangu sijaitumia kwa muda wa miezi sita hivi nilikuwa nimesafari. Sasa jana nimerudi getto kuwasha hivi naona ukungu kwa ndani na picha wala haionekani vizuri. Nilikuwa nataka kuangalia mpira jana nilishindwa kwa sababu ilikuwa inaumiza macho. Mpaka sasa sijajua kwa nini imekuwa hivyo.
Maana niliiacha inafanya kazi vizuri na wala kulikuwa hakuna mafuriko labda kusema kuwa iliingiliwa na maji na funguo za getto ninazo mimi mwenyewe. Mwenye kujua suluhisho naomba msaada tafadhili niko dar!
 
Back
Top Bottom