Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

KingRoot can root all version of Android with one clicking, you can have a try. http://www.kingroot.net/wap/download Nimeambiwa one issue needs attention "game booster" Enable? Kwani ni lazima...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa kupitia hatua antazokpa utakua na uwezo wa kua na access na series kibao pamoja na movies nyingi sana. hizi ni njia rahisi ambazo haitakuitaji wewe kutoka jasho wala povu kwa maelezo zaidi...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Huawei P9 SPECIFICATIONS 40% 592,608 hits 131 Become a fan 5.2"1080x1920 pixels 12MP1080p 4GB RAMHiSilicon Kirin 955 3000mAhLi-Ion Huawei P9 and P9 Plus hands-on: First look Read opinions...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
nimatumain yangu muwazima wanajukwaa naomba kusaidiwa namna gan naweza install program katika simu hii kwan currently nmefanya ku un install what app kutokana na ukubwa wa data ulijaza simu...
0 Reactions
2 Replies
866 Views
Simu inaniambia......Unfortunately, the process com.android.phone has stopped........ Hii itakuwa ni nini........?
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Haya wanajamvi nimeanzisha ka uzi kama kanavyojieleza hapa ni kwamba unaleta mada ambayo unafikiria /jambo unalotaka kulifanya la kisayansi lenye tija na manufaa kwa jamii .Halafu tunachangia...
1 Reactions
0 Replies
576 Views
1} li desktop langu la fujtsu siemens esprimo e,lina 1.5 gb RAM sasa wakuu nilivyoligoogle likashow linatumia ddr 2 ram,je nikiweka ddr 3 athari gani zitatokea 2} naombeni mnijuze...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari za jioni ndugu zangu, naomba kujua kama kuna chuo ambacho kinapokea wanafunzi kwa ngazi ya diploma ya IT kwa sasa ni hayo tu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1. Google: Larry Page & Sergey Brin 2. Facebook: Mark Zuckerberg 3. Yahoo: David Filo & Jerry Yang 4. Twitter: Jack Dorsey & Dick Costolo 5. Internet: Tim Berners Lee 6. Linkdin: Reid Hoffman...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wakuu kwa kipindi cha wiki 2 zilizo pita nilitangaza kununua Idea ya mtu Kuhusiana na Technology (website) kuwa nanunua wazo kuhusiana na Website kwa mfano, mtu aliye tengeneza facebook...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani naitaji pc used iwe na hdd500 gb Processor 2.6ghz Ram 4gb nina laki tatu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wadau wa jukwaa la teknolojia. Naomba kufahamishwa namna ya kushare internet iliyo katika laptop kwenda katika simu kwa njia ya Wi-Fi. Utaalamu wangu unaishia kutoa Net katika simu kupeleka...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Je! ninawezaje kutoa pattern kwenye cm ambayo uki press volume & power button hailet option zile za ku restore? au cm za namna hiyo pattern haziwez kutoka mpaka computer?
1 Reactions
6 Replies
2K Views
naombeni ufafanuzi juu ya ku unlock hii moderm model :E3372s-153 imei :866133028642181
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nahitaji msaada kufahamu online community hapa Tanzania ambayo inakutanisha Game Designer, programmers, Video animator, modeling Artist, and other of the same consideration.
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Heshima kwenu. Kama mada husika inavyosema wakuu, naomba kujuzwa App au Software ambayo naweza ku-convert videos kwa urahisi na kwa haraka kiasi toka kwenye format tajwa hapo juu (mp4 na mkv)...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wataalamu wa jukwaa hili... nifanyeje niweze tazama ligi ya mpira wa miguu ya Egypt? kwa kupitia channels zipi? nitaipataje?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya music files za ku-download mfano wimbo Wa Mr II Sugu Motochini nimeu-download. Umeandikwa "Sugu - Motochini" lakini nikiucheza kwenye simu player inaandika "superdee" kama ndio...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
habarini za saa hizi wadau, nina project yangu nimetumia php 5.5.15 na ikiwa kwenye localhost inafanya kazi vizuri, nimeiupload kwnye free hosting service kutoka hostinger, wao wanatumia php...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nimekuwa nikijiuliza hili swali toka zamani kwamba kipi ni kizuri zaidi......being a web developer as a carrier or develeoping your own web and earn from it .help me to elaborate
1 Reactions
1 Replies
731 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…