Hakuna mtandao mbovu Tanzania kama tiGO.tiGO wako vizuri sana..
Mkuu mbona me sijawahi kupata tatizo? Msaidie aliyeuliza..Hakuna mtandao mbovu Tanzania kama tiGO.
Kwa ubora wa kasi wa Internet and high signal popote nchini ulipo access is available ni HALOTEL is the leading company.....ni mtandao gani wenye gharama nafuu zaidi zaidi hapa nchi Tanzania na wenye kasi inayo ridhisha kwa matumizi ya kupiga simu na kuperuzi na kupakua vitu mbalimbali kutoka mtandaoni?
Nimependa hii commentTigo usithubutu kutumia
Voda & Airtel tunavumiliana tu hivyo hivyo
Ukitaka ambao uko perfect 100% labda ubuni wa kwako....lol
Unaposema usithubutu wakati watumiaji wa tiGO hatuna tatizo.. sijawahi kuwa na line tofauti na siwazi kuwa nayo..Tigo usithubutu kutumia
Voda & Airtel tunavumiliana tu hivyo hivyo
Ukitaka ambao uko perfect 100% labda ubuni wa kwako....lol
Unaposema usithubutu wakati watumiaji wa tiGO hatuna tatizo.. sijawahi kuwa na line tofauti na siwazi kuwa nayo..
Hili nalo neno lolTigo usithubutu kutumia
Voda & Airtel tunavumiliana tu hivyo hivyo
Ukitaka ambao uko perfect 100% labda ubuni wa kwako....lol
Hata mm mwanzoni nilifikiria kama wewe. Lakini nilipopata line ya halotel, yale matatizo ya no service mara sijui emergency call only yakawa yameishia hapo. Saiz line ya tigo ipo ipo tu. Soon naweza tupaUnaposema usithubutu wakati watumiaji wa tiGO hatuna tatizo.. sijawahi kuwa na line tofauti na siwazi kuwa nayo..
Mi nna kikasha changu maalum cha line za airtel, zantel, tigo, halotel, voda hivi punde tu ntachukua smart sjui smile pamoja na ttcl.
Hapa naangalia tu wapi kuna huduma ilo nzuri nafungua kikasha changu natumbukiza line.
Mitandao yote haina tofauti sana ila kwa makato yasiyoeleweka nadhani Voda wanaongoza kwa kweli...... Ni wazuri kwenye huduma ya Mpesa pekeeehahahahahaha uko vizuri, ndio kinachofanya watu siku hizi wawe na masimu mawili mawili