Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,856
- 811
wataalam kati ya note4 na tab s 10.1 nimepata zote kwa sawa,hapa nipo njia panda je mnanishauri ninunue ipi
asante sana mtaalam chief mkwawa ngoja nichukue note4 kumbe itanifaa sana kuliko tab sspecs wise note 4 inaipita hio tab s. ingekuwa mimi ningechukua note 4 hasa kwa matumizi ya mkono mmoja.
pia kwa baadae note 4 itapata support kubwa na sitashangaa 2017 ikipata android 7 aka android N wakati hio tab ikibaki na software ya zamani
zipo sawa kiutendaji kasoro kioo kilichojikunja tuSawa mkuu na mimi naongezea hapo kati ya Note 4 na galaxy Note edge ipi kiwango