Naomba msaada wa fasta mwenye uzoefu wa mambo ya laptop

Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
13,095
22,705
Habarini zenu wadau
Nahitaji msaada wa fasta hapa kwa wakali wangu mwenye uzoefu wa mambo ya laptop hardware na software....
Ni hivi nimebadilishana na wife laptops........kanipa yake me nimempa yangu alikuwa kuna kazi anataka kufanyia.
Mimi ya kwake nilikuwa naitumia kutazamia series tu leo hii. Sasa kilichotukia ni kwamba mida ya saa 6 baada ya kukata episodes kadhaa nikaamua kupumzika.......so nikaiweka kwenye hibernate mode......kisha nikaiweka chaji nikaendelea na mengineyo......sasa kutokea hiyo saa sita nikaja kuishika saa kumi na mbili hii.......naiwasha inagoma inanionyesha kialama cha kikitoa alama ya orange na kublink yaani kumwekamweka na mashine haitaki kuwaka kila ninapojaribu kubonyeza hata kwa kuhold.........betry nimetoa na kurudisha ila mwendo ni ule ule ni taa moja tu inawaka tena kwa kublink sasa sijui ushauri gani mwanipa wadau kabla sijaamua kuipeleka kwa fundi pengine naweza shughulikia mwenyewe........
 
Iache kwanza usiwe na haraka kaa kwa mda irudie pc yako washa itawaka sahizi itoe kwenye chaji
 
Habarini zenu wadau
Nahitaji msaada wa fasta hapa kwa wakali wangu mwenye uzoefu wa mambo ya laptop hardware na software....
Ni hivi nimebadilishana na wife laptops........kanipa yake me nimempa yangu alikuwa kuna kazi anataka kufanyia.
Mimi ya kwake nilikuwa naitumia kutazamia series tu leo hii. Sasa kilichotukia ni kwamba mida ya saa 6 baada ya kukata episodes kadhaa nikaamua kupumzika.......so nikaiweka kwenye hibernate mode......kisha nikaiweka chaji nikaendelea na mengineyo......sasa kutokea hiyo saa sita nikaja kuishika saa kumi na mbili hii.......naiwasha inagoma inanionyesha kialama cha kikitoa alama ya orange na kublink yaani kumwekamweka na mashine haitaki kuwaka kila ninapojaribu kubonyeza hata kwa kuhold.........betry nimetoa na kurudisha ila mwendo ni ule ule ni taa moja tu inawaka tena kwa kublink sasa sijui ushauri gani mwanipa wadau kabla sijaamua kuipeleka kwa fundi pengine naweza shughulikia mwenyewe........

Hicho kialama ulichokiweka sijakielewa kabisa. Ila kutokana na maelezo yako inaelekea laptop yako imeishiwa na chaji haikuwa ikichaji kama ulivyodhania. Jaribu kutafuta adapter inayoingiliana na laptop yako halafu ujaribu uone kama itawaka.
 
Back
Top Bottom