Kwa ushauri tumia computer kwani cv ni ya kuheshimu sana na inatakiwa iwe nadhifu, pia cv ukishaiandaa mara ya kwanza basi utakuwa unaongeza tuu vitu vidogo vidogo.Wakuu je kuna apps ya kuniwezesha kuandaa Curriculum vitae CV kwa njia ya simu? Natumia android hiyo cv nataka iwe katika format ya pdf