Masters Degree ya CS kutoka mmoja ya vyuo bora duniani sasa inapatikana kwa $7000 tu

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,627
2,457
Dunia inabadilika jamani!

Chuo cha Georgia Tech kilichopo Atlanta Marekani sasa kinatoa Masters ya Computer Science kupitia mtandao kwa takribana $7,000 tu, bei ya kaiwaida ("campus") ya Degree ya MS of CS inagonga $45,000 bila kuzingatia gharama za kuishi.

Degree unayopata haitofautishiki na degree unayopata ukihudhuria masomo hayo campus.

Georgia Tech ni chuo cha kiwango cha juu duniani, miaka mingi kipo top 10 Marekani, mwaka 2012 kilipewa nafasi ya 25 duniani kote.

Zaidi kuhusu hiyo Degree hapa Home | OMSCS | Georgia Institute of Technology | Atlanta, GA

Kutoka wikipedia: Georgia Institute of Technology - Wikipedia, the free encyclopedia

Georgia Tech is consistently ranked among the best universities in the United States and the world. For over a decade, Georgia Tech has remained in the top ten public universities in the United States, and is currently listed as the smartest public college in the United States.[101][102] In 2012, The Times Higher Education World University Rankings ranked Georgia Tech 19th in the United States and 25th in the world; its engineering program was ranked 9th in the world.
 
We sio mzima, $7000 ni zaid ya milion 15 na hapo ni online(unasomea kitandani). Bado hujaweka gharama nyingine kama regristration fee, examination fees, books and materials etc. Kwako wewe umeona ni rahisi sana??
 
We sio mzima, $7000 ni zaid ya milion 15 na hapo ni online(unasomea kitandani). Bado hujaweka gharama nyingine kama regristration fee, examination fees, books and materials etc. Kwako wewe umeona ni rahisi sana??
Mkuu kwa Marekani Gharama hiyo ni ndogo kule kusoma chuo ni gharama sana watu wanalipa hadi million 35 kwa mwaka
 
$7000 ilikuwa fees ya associate degree ktk community college miaka zaidi ya mitano iliyopita, GA Tech ni expensive sana tu kwa citizens na international students ndo kabisaaaa
 
Back
Top Bottom