Charles kikoti
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 461
- 121
Naombeni kujua namna ya ku upgrade window 7 kwenda 10 for free. Mahitaji yake ilinifanikiwe. Mwaka jana nilikuwa naona alert ya preparation ya PC yangu kuja kuwa window 10 siku hizi hata sioni ile alert tena. So nifanyeje ilinifanikiwe ku update?