The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,025
- 1,173
juzi nilinunua vocha ya elfu 3 ya halotel moja nikajiunga kifurushi cha chuo na 1500 nikajiunga unlimited bundle cha usiku pack nikaja kuangalia salio kwenye unlimited bundle wakanambia ndugu mteja hajajiunga kifurushi chochote cha internet nikishangaa sana wakati nilijiunga. leo tena nimeununua vocha ya 2000 nikajiunga tena unlimited bundle cha usiku pack nikajihakikishia kabisa nimejiunga cha ajabua naangalia salio la usiku pack wanasema sijajiunga na kifurushi chochote cha internet nikiangalia salio nakuta kumebaki 500 ina maanna wamekata 1500 .nikapiga 100 wnaongea maneno meengi wala hamna huduma ya kuongea na muhudumu
hawa jamaa washaanza kuzingua mapema tyuu
hawa jamaa washaanza kuzingua mapema tyuu