Msaada: Jinsi ya kurudisha application ya SMS kwenye simu

BRO LEE

JF-Expert Member
Dec 25, 2011
830
603
Mtoto amechezea simu app ya meseji siioni hivyo siwezi kutuma wala kupokea sms. nimejaribu ku
download app nyingine ila hazifanyi kazi vizuri.
Naomba kujua namna ya ku recover ya zamani.
 
Ni mdogo hajua chochote zaidi ya bonyeza bonyeza tu, nahisi atakiwa kaifuta
 
Ni mdogo hajua chochote zaidi ya bonyeza bonyeza tu, nahisi atakiwa kaifuta
simu umeroot? kama hujaroot ni ngumu kuitoa hebu jaribu kueka launcher nyengine toka playstore download nova launcher uone kama itatokea
 
kama ni kweli haipo una option hizi chagua mwenyewe

1. eka app nyengine ya sms chagua nyingi nyingi then eka ambayo utaipenda

2. root simu tafuta mtu mwenye simu kama yako halafu acopy folder lake la system app lenye sms uieke kwako

3. hard reset simu inaweza ikarudi

4.flash simu
Asante mkuu, naomba nielekeze ku reset
kama ni kweli haipo una option hizi chagua mwenyewe

1. eka app nyengine ya sms chagua nyingi nyingi then eka ambayo utaipenda

2. root simu tafuta mtu mwenye simu kama yako halafu acopy folder lake la system app lenye sms uieke kwako

3. hard reset simu inaweza ikarudi

4.flash simu
 
Dawa hapo ni kuresete tu madhara yake ni kwamba program ulizodownload mwenyewe zitafutika itarudi na proglam zake tu kama siku umeinunua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom