PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
Habar zenu hapa samahan wakuu ningependa kufahamu kati ya computer inayorun kwa kutumia graphics card za AMD na computer inayotumia graphics card za NVIDIA ipi ni nzuri kwa performance???
Lakin nmekuwa na bad experience na hizi za AMD....inategemea huwezi chagua tu kwa kuangalia brandname, kuna mamia ya graphics za nvidia na amd bila kujua ni ipi na ipi huwezi kucompare
inawezekana una slowest amd graphics ndio maana imekuwa hivyo, pia mimi naweza kuwa na slowest nvidia card nikawa na experience mbaya vile vile. bila kuzijua namba zake exactly ni ngumu kupata jibu. pia unaweza kuwa na graphics card na ukapitwa na ambaye hana dedicated graphics, so kuwa na graphics kama hivyo pia sio tijaLakin nmekuwa na bad experience na hizi za AMD....
si kweli, kila graphics zipo low end, medium na highend hivyo huwezi ukasema tu nvidia nzuri, mfano nikichukua AMD furry x ukacompare na gpu kama nvidia gt 210 ni uonevu sababu nvidia anakuwa amepitwa kama mara 50. vile vile nikichukua gpu ya nvidia kama gtx 980ti nikacompare na low end ya amd kama hd 5450 nayo inapitwa kama mara 50. pia intel ana igp nzuri kama iris pro 580 ambazo zinapita gpu nyingi tu za laptop za low end na medium.NVIDIA Ni wazuri kuliko ata Intel co AMD tu, uzuri wao unatokana na kutumia ghalama kubwa kutengeneza graphic zenye ubora, ni sawa na super amoled display kulinganisha na cheap grass material display za kwenye tecno.
Chief Mkwawa,kwa sisi ambao ni laymen kwenye haya mammbo hapa hatuwaelewei.Hebu toa elimu kidogo na hizo graphic cards.Je ni card unanunua au ipo inbult kwenye pc au lapotop.Na kama unanunua unanunua wapi na kwa bei gani.Maana kuna kipindi niliona mnaongelea hayo kwenye video editing.Hebu tufundishe kidogo kama unavyofanya kwenye mambo mengine.si kweli, kila graphics zipo low end, medium na highend hivyo huwezi ukasema tu nvidia nzuri, mfano nikichukua AMD furry x ukacompare na gpu kama nvidia gt 210 ni uonevu sababu nvidia anakuwa amepitwa kama mara 50. vile vile nikichukua gpu ya nvidia kama gtx 980ti nikacompare na low end ya amd kama hd 5450 nayo inapitwa kama mara 50. pia intel ana igp nzuri kama iris pro 580 ambazo zinapita gpu nyingi tu za laptop za low end na medium.
bila kujua exactly ni gpu gani unazoziongelea haiwezekani kabisa kujua gpu ipi nzuri
hata hizo low end mkuu zipo nyingi zinazidi 100 mule mule tu tutarudi pale pale. mfano nvidia zipo gt 210,220,230,240.... 610, 620, 630, 640, 710,720,730,740 etc ukija amd nayo hivyo hivyo.Ondoa upper specfications, nimetumia low end ambazo ndo pc zetu wengi, na hayo ndo maswahibu yatakayokukuta
kwa laptop unaikuta ndani na mara nyingi nje ya laptop kunakuwa na sticker ya Nvidia/Ati/AMD kwa njeChief Mkwawa,kwa sisi ambao ni laymen kwenye haya mammbo hapa hatuwaelewei.Hebu toa elimu kidogo na hizo graphic cards.Je ni card unanunua au ipo inbult kwenye pc au lapotop.Na kama unanunua unanunua wapi na kwa bei gani.Maana kuna kipindi niliona mnaongelea hayo kwenye video editing.Hebu tufundishe kidogo kama unavyofanya kwenye mambo mengine.
Tatizo lilonipata ni kwamba nimeshindwa kuinstall android emulators eg. Bluestack and andy kutokana na unsuported graphic card ya AMDMfano mzuri n unapotaka kuingiza whatsapp kwenye pc 2 zenye graphics tofaut utaangaika cku nzima kuingiza bluestacks wakat pc ya NVIDIA ni kubonyeza button tu
umeeka driver? hio graphics ni ya apu au ni dedicated? bila kutaja aina yake tutaendelea kuzunguka tu hapaTatizo lilonipata ni kwamba nimeshindwa kuinstall android emulators eg. Bluestack and andy kutokana na unsuported graphic card ya AMD
Ngoja niangalie vizur then nitaleta mrejeshoumeeka driver? hio graphics ni ya apu au ni dedicated? bila kutaja aina yake tutaendelea kuzunguka tu hapa