Habari wana jf naomba mtu anisaidie jinsi ya kujiunga na snapchat na kusoma taarifa mbalimbali na kuona picha za marafiki, msaada tafadhali nimeidownload tayari nimeifungua hata picha nimeweka ila kupata taarifa nimeshindwa nibonyeze nn
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.