Kuondoa Auto-Media Download kwenye whatsapp web

WABALLA Inc

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
2,711
1,015
Habari wakuu? Mungu ni mwema anatupatia uzima na afya ya kutuwezesha kufanya yetu.
Naomba msaada katika hili:
Nimeanza kutumia whatsapp web ila nashindwa na sioni sehemu itakayoniwezesha kuset ili picha, sauti na video zisiwe zinaji download automatically.
Naomba msaada kwa hilo.
 
Ndo nini kwnz iyo Auto media download...maana wngn hawaijui
Mkuu "auto media download " namaanisha pale picha sauti au video zinapotumwa zinajipakua zenyewe Moja kwa Moja. Hua kuna sehemu kwenye simu unaset inaacha kujipakua (download ) wewe ndio unachagua kipi unapenda kupakua. Sasa kwenye kompyuta ndio imenishinda Nataka niset ili isiwe inapukua mafaili Moja kwa Moja mpaka nichague
 
Anhaaaaa....karibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom