USB Internet yangu inasumbua

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,663
Habarini wadau. Kama wiki moja hivi simu yangu imekataa kabisa ku share internet kwenye computer.

Nikienda kwenye setting kuna sehem ilikuwa inanipa option ya usb ili ni connect internet lakini kwa hii wiki moja hiyo sehem ya ku connect usb internet imepotea ghafla.

Kama kuna mtaalam naomba anisaidie maana sielewi nini kimetokea. Simu yangu ni tecno p6 mini

Asanteni.​
 
Unatumia Android toleo lipi?
 
Back
Top Bottom