Nitumie njia gani kuroot Simu yenye android version 6. 0. 1

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Nili update simu yangu kwenda Marshmallow sasa nahitaji kuroot nimetumia kingroot lakini kila ikifika 30% inaandika root failed je nitumie njia gani version ya kingroot ni 4. 9. 0 ndo nilio kuwa naitumia aina ya simu HTC one M9
 
Tumia towel root, then utaona option ya make it rain clik hapo au hyohyo kingroot jaribu mara nyingi ukiw umewsha data pia uwe kwenye sehemu yeny strong network

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
Mkuu vip nahitaji kuchakachua modem yangu itumie line zote unaweza kunisaidia nifanyeje?

Hizo modem zipo mbili na no za huawei. Moja ya zain na moja ya tigo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom