Jmujun
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 965
- 525
habari zenu wanajamvi, nina simu tecno T430 imepewa faili la youtube lakini haiwezi kustream video, kila ninapo click watch ina load alaf inaniandikia scheme doesn't support.. je shida ni nini? ama hawakuikamilisha kuinstall? phone ni supported by java