Ntarejesha jibu ahsanteUnataka transform from origin kwenda kulia sio?kama nimekuelewa vibaya utauliza swali lako vizuri.
Kunavigate kwenye 3d view on blender unatumia 3d manipulator(ipo kwenye header chini kabisa,by default ukifungua new scene inakua kwenye 'Transformation manipulator' kama pichani hapo),,then move kwa place utakayo kwakutumia x axis=(kushoto,kulia),y axis=(mbele,nyuma),z axis=(juu,chini),,,kumove(transform) object husika kwenye new location hakikisha ipo kwenye 'object mode' pale chini kwenye header kwenye object orientation mode(kuswitch kati ya modes bonyeza tab bar),ikiwa kwa object mode,transformation inafanyika kwa object nzima na inakua changed to new location ila kwa edit mode,changes zinafanyika kwa mesh pakeyake
kumradhi kama nitakua sijakujibu swali lako ipasavyo au ndivo sivo,,if so,just uliza vizur