Msaada: Simu yangu ya Samsung nilii-root, sasa inashindwa kufanya update

Issuna

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
3,203
7,625
jaman nina samsung yangu nimeiroot sasa nikitaka ku update software..inanambia PHONE HAVE BEEN MODIFIED NO UPDATES...nafanyaje kutoa root.
 
Wakat ulivokua unairoot ulifkiri kuroot ni kitu gani?hapo updpate aidha ui unroot au uiupdate manually kwa kutumia new rom.
 
Back
Top Bottom