William Ngotti
Senior Member
- Apr 13, 2015
- 187
- 48
Naombeni msaada jinsi ya kuflash tecno h6
Thanks
tumia pcHili file unalidownload kupitia kwenye computer au simu moja kwa moja
File la romking litakuwa scatter file lazima a flash kwa sp tool na kuna uwezekano akauwa imei number mpe maelekezo ya kina ili aende vyema lakini pia hujamuuliza kwanini anaiflash isije kuwa ni issue ya patter lock tu[/QUOTE]
wipe user data kwa kutumia recoveryJe kama ni issue ya pattern lock kwa simu ya Samsung s3 nafanyaje wakuu mnisaidie