EFD Machine: Msaada wa haraka kabla sijapigwa pesa

EFD Machine: Msaada wa haraka kabla sijapigwa pesa

Jindal Singh

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
1,857
Reaction score
1,542
Mashine ya edf inaandika technical overview must be excuted jamaa anataka 100000 Ku solve issue ni bolsto mashineza prima.
 
Mpe tuu maana hakuna namna nyingine
 
nenda uliponunulia kuichokonoa kinyume cha utaratibu utatozwa hata milion mafundi wa efd lazma wawe wamethibitishwa na tra peleka mahali husika
 
Ahsanteni wakuu issue IPO solved. Nilikuwa nataka kufahamu tatizo lakini si kutengeneza.
Mkuu hizo Mashine haziruhusiwi kufanyiwa matengenezo nje ya wauuzaji walioandikishwa na TRA-usije fanya kosa la jinai
 
Ahsanteni wakuu kwa kunipa taarifa issue IPO solved.
 
Back
Top Bottom