Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kuna Huu Mtandao Unaitwa SnapChat Nimedownload Application Yake Sasa Nashindwa Kutumia Kila Nikijaribu Naona Madudu Tuu Au Kwa Lugha Nyingine Nimeshindwa Jindi Ya Kutumia Sijui Huu Uzee Ndio...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Waungwana, Ninamiliki simu inayotumia OS ya Android. Tangu jana mchana nimekuwa nikipokea ujumbe kutoka kwa namba inayodai kuwa "+1234" ikituma ujumbe unaosema "You're sending from Fake...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Wasalamu wana JF Naomba kuuliza kuhusu ili suala la kugenerate pesa kwa kumiliki blogs na mitandao mingine ya kijamii, mimi sio mjuzi sana wa mambo ya kimitandao ila nimekuwa nikisikia kwamba...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu msaada simu yangu inagoma kufungua Play sore nikifungua ina load na badae inasema time out, tatizo linawza kuwa nini? natumia samsung Duous.
0 Reactions
13 Replies
17K Views
Nahitaji 4g capable unlocked modem, kama unayo pm me tuongee zaidi
0 Reactions
0 Replies
811 Views
tatizo inawaka taa ya njano halafu inablink namba 1 na 2 nisaidieni wakuu
0 Reactions
6 Replies
922 Views
Wakuu, Aisee naicheza hii game ambayo iko cracked, kwakweli imeniteka vilivyo. Graphics, silaha, mission zenyewe ni shida wakuu. Kwa ujumla iko vizri.
0 Reactions
2 Replies
907 Views
Nimeroot sim yangu c5 Tecno. Nimetoa baadhi ya apps. Tatizo browsers zote hazifanyi kazi. Naombeni msaada wenu wakuu.
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwa bahati mbaya rafiki yangu kasahau pattern katika simu yake. SAMSUNG GALAXY GRAND CORE..mwenye kujua namna ya kurestore au njia nyingne ya kutoa.plz msaada wako ni muhimu sana
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuuu naomba kwa mwenye uelewa na hzi cm ukiflash znakua,na ttzo ama bado itaendelea kufanyakaz nlinunua kwny campuni ya tgo sasa nataka lain 1 iwe inaingia lain yoyote maana inaingia tgo...
0 Reactions
0 Replies
534 Views
Habarini za asubuh . Natumia laptop ya dell nimeinstall windows 10 kwa kutumia usb device(flash) tatizo laptop sasa inapokea signal za wifi kutoka kwenye any windows phone only nikiconnect kwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Msaada jinsi ya kuroot Halotel H8501
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naangalia game ya bayen na atletico kupitia app ya modro but inagandaganda na mtandao upofull,sasa nn tatizo msaada wataalam.Na tanguliza shukran zangu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salama wadau, Nimetumia Distros kadhaa kama openSuse, Fedora, Mint, nk ila kwenye wired network zinashindwa kupata address, nkiweka manually inasema connected ila kunakuwa hakuna flow yoyote ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi ninaweza kupost video za watu wengine kwa mfano music,movies or somw thing esle katika youtube channel na nkapiga mitonyo na AdSense kama kawaida au inakuaje kuaje ii wakuu mnweke wazi kidogo jmn
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Je, wajua mtu aliyevumbua nambari ya siri maarufu kama PIN ambayo watu wengi hutumia katika kadi za benki na katika kufanya malipo hakulipwa chochote kutokana na uvumbuzi wake? Mwanamume huyo si...
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Tafadhali ndgu wa jukwaa la tech naomba msaada wenu namna ya ku upgrade tecno c8 yangu kwenda HiOS manager nimeona matangazo yao kwenye fb nimekuwa interested sana. Mwenye kujua kuhusu hili...
1 Reactions
27 Replies
10K Views
Naomba msaada wa kuroot Halotel H8501 tafadhali
0 Reactions
1 Replies
739 Views
Habari zenu wadau .. Kuna tatizo limetokea kwenye sim yangu jana , kwamba kama simu iki lock , halafu niki unlock ina display white screen , Niki touch screen inaanzaa kuleta matangazo ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…