Msaada wa kuroot htc One mini

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,328
958
Za mida wakuu, naombeni msaada wa kuroot HTC one mini
 
Kuna applcation uki google kweny computer inaitwa 'one click root', i download,install alf connect cm yako kweny computer fuata maelekezo itakayo kupea ni rahis tu
 
Kuna applcation uki google kweny computer inaitwa 'one click root', i download,install alf connect cm yako kweny computer fuata maelekezo itakayo kupea ni rahis tu
nimeidownload na nimefata maelekezo ila sasa wakati naendelea ikaniuliza email na pasword nilipoendelea nimekutana na sehemu za kulipia. je hakuna ambayo ni bure au lazima nilipie
 
Back
Top Bottom