Naomba elimu juu ya kuflash simu

Qurie

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
3,643
3,874
Habari zenu wana jf...
Naomba kujuzwa kama kuna madhara yoyote endapo utaflash simu ili itumie line zote....
Kwasababu nmesikia endapo ukiflash simu uimara wake unapungua je ni kweli?? Na pia kuna madhara mengine yoyote
 
Back
Top Bottom