Eric Mkomoya
Member
- Oct 10, 2014
- 55
- 56
Watumiaji wengi wa simu janja wanalalama kuhusu chaji katika simu wengine wakinunua kitunza umeme ili waweze kutumi simu zaidi, ila kuna vitu tunavifanya na simu janja hizi vinzvyotumia chaji nyingi pengine bila wenyewe kujua, nakupa mbinu kadha unazoweza kutumia kutumia kuokoa chaji katika chajia janja yako,...
1.KUPUNGUZA MWANGA
kitu kinachomaliza chaji mojawapo katika simu ni screen hivyo unashauriwa kupunguza mwanga wakat huuhitaji mwanga mwingi ili kuokoa chaji katika simu yako.
2. zima vibration
kama ulikua hujui katika simu sauti inatumia chaji kidogo kuliko mngurumo yani (vibration) ukiweza toa weka sauti au silent kabisa
3. EPUKA WALLPAPER ZINAZOBADILIKABADILIKA
Hizi wallapaper zinaonekana nzuri pia zinzvutia lakini madhara yake ni kutumia chaji nyingi katika simu yako kuliko wallpaper za kawaida,
4. TOA AUTO UPDATES
hakikisha simu yko haifanyi updation automatic mpka wewe ndo uwe umeamua, kwasabbu auto maana yake inakua muda wote inatafuta kitu cha kuupdate katika simu, hivyo inakua chaji chini kwa chini,
5.zima,
zimaa vitu vitu viivyo on wakat havitumiki angalia kweny dashboard ya simu yako kwa wanaotumia android jus vuta chini screen utaona pale, kama ni bluetooth zima, kma ni GPS, widgets,location etc zima vyote kam hutumii washa pale utakapohitaji tu, seetting z simu utaona vitu kama location na kumaliza mchezo kabisa.
share kam una mbinu zingine hapa wanatumiaji wa smart phones wajue....
TECNO SPOT - TECNO MOBILE COMMUNITY OFFICIAL FORUM