Msaada tafadhali wa key za Kaspersky

obseva

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
573
646
Nimepoteza scratch card yenye activation key za kaspersky cd, nina cd tuu, niliinunua kariakoo
kwa bahati mbaya nilifuta window na nikairudishia hivyo nahitaji kuirudishia pia hiyo
antivairus kwani bado ina siku 180.

je kuna namna naweza pata hizo key?
 
Uliinstall Windows upya? Ama uli uninstall Kaspersky antivirus?.

Kama ulitoa window, nenda local disk c , tafuta folder linaitwa Windows.old
 
je kuna

Ndiyo mkuu niliistal window upya
Nimepoteza scratch card yenye activation key za kaspersky cd, nina cd tuu, niliinunua kariakoo
kwa bahati mbaya nilifuta window na nikairudishia hivyo nahitaji kuirudishia pia hiyo
antivairus kwani bado ina siku 180.

je kuna namna naweza pata hizo key?
 
Uliinstall Windows upya? Ama uli uninstall Kaspersky antivirus?.

Kama ulitoa window, nenda local disk c , tafuta folder linaitwa Windows.old
Ndiyo mkuu nilipiga chini window nikaweka upya
 
Duh.. Uliregister kwa email yako? Kama ndio login kwenye kaspersky website nauhakika code itakuwepo kama lah! Utabidi ukanunue nyingine
 
Wala sikuregister niliweka cd ikaupload ikaniambia niweke key basi. Nikaupdate kwisha
 
Back
Top Bottom