Aurelio_CSM
Member
- Oct 14, 2014
- 57
- 22
Napenda kujua inakuwaje hadi programming language Inatengenezwa na je zile codes zake huwa zinawekwa sehemu yani kwenye computer na inakuwaje computer kama windows xp kuweza kuelewa latest languages kama apple swift wakati os ni muda mrefu Sana. Je ninaweza kutengeneza user defined programming language Kwa software kama notepad na npp++?