Msaada wa kuflash tecno p5 kwa computer

Habari zenu wanajamii? Naomba msaada wa software inayoweza kuflash tecno P5
Tafuta software inayoitwa sp flash toolz na firmware backup ya cmu yako tecno p5,zipo kibao uki google utazipata,ila point 2 note......tecno p5 ina firmware 2 ambayo ni old na new os,so be care
 
Kwanza shukrani bro,pili naomba msaada wa link ya ku downloaq yake ki urahisi
 
Msaada yangu ni F5 imezima kabisaa ukiiweka kwenye charge inaandika techno haiendelei zaidi ya hapo nifanyeje wadau ?. Msaada tafadhari.
 
Jaribu kuiwasha kwenye recovery mode bana chakupunguzua sauti kisha washa kuna menu itakuja halafu ui reset.
 
  • Thanks
Reactions: J C
Back
Top Bottom