Msaada jinsi ya kupata imei.

SPECIAL TMN

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
1,111
803
Kuna mdogo wangu nilimpa simu yangu atumie kwa muda simu aina ya TECNO M3 kutumia lakini nikaihitaj tena baada ya pale simu haisomi mtandao zile bars hazionekani inaandika invalid Imei hata ukijaribu kupigia mtu simu haziendi. Ndani ya hii simu kuna APP ya MOBILE UNCLE sijaelewa dogo ndo amefunga simu yangu kupitia hiyo app au? Nawasilisha wakuu.
 
nenda playstore na download app ya mtk engeenering tool kisha install na utatumia kurudisha imei yako
 
Labda kama ni download kupitia simu nyingine halafu nisend kwa flashare hapo sawa asante kwa wazo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom