Aaron2013
Member
- May 8, 2013
- 50
- 24
Simu yangu ni TECNO M5, Ina virus anaitwa times service, anti virus zinachofanya ni ku- disable ,virus huyu haruhusu kuinstall app nyingine yoyote, nime-format handset lakini virus yupo na uki-install message inakuja hakuna nafasi wakati nimesafisha kwa kuformat na apps nyingi zimetoweka.
Naomba mnipe ufumbuzi wakuu.
Naomba mnipe ufumbuzi wakuu.