Nataka kununua blackberry Q10

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,240
1,794
Jamani kama unajua wasifu/specificanion au ulishawai itumia nishauri nimeipenda je nikinunua nitapata matumizi ya apps za kutosha au ntabaniwa msaada please
 
Mfano naweza kudownloas app kutoka google play store au unknown site bila kizuizi labda wana sera faragha tofauti
playstore inakubali na app za android zinakubali na vizuizi pia vipo kuna app zitakataa hivyo tunarudi pale pale
 
Back
Top Bottom