Asante sana! Mwaka mzima nina S4 lakini sikuwahi kuweza ku-screenshot. Nilihangaika mpaka nikaacha nikidhani haiwezekani.press home + power buttons simulteneously!
Kumbe tuko wengiAsante sana! Mwaka mzima nina S4 lakini sikuwahi kuweza ku-screenshot. Nilihangaika mpaka nikaacha nikidhani haiwezekani.
JF idumuuu!
Power button+volume button uwe kama unapunguza volume lakini bonyeza kwa wakati mmojaNa Tecno inakuaje