WD HD Media player needed.

nerilan

JF-Expert Member
Dec 11, 2013
441
644
Habari ya jioni wakuu..

Naomba mwenye kujua hiki kifaa nakipata wapi kwa Dar au Arusha naomba anijuze. Maana nakitafuta sana ila sijabahatika bado.

Nitafurahi kama itakuwa ni toleo la hivi karibuni ili niweze pata features nyingi zaidi.

Msaada wenu wakuu.

Ahsanteni..
 
Back
Top Bottom