PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
Habari wakuu naombeni msaada wenu kwa muda mrefu sasa namiliki pc ya Dell yenye pentium 4, ina processor moja na ram 256mb kwa kweli hii pc ni kimeo iko very slow.. Sasa najiuliza inawezekana nikabadilisha RAM Yake na kuweka Ram ya 2gb au 4gb ili niongeze performance yake?? Je ni kweli nikiweka RAM kubwa bila kuongeza processor perfomarnce itaongezeka??