Naomba ushauri kuhusu Thin client

Islam005

JF-Expert Member
Nov 1, 2008
3,342
3,494
hello all, nina Computer Lab mpya ina users kama 50 nataka kutumia Thin Client badala ya kutokununua PC zote 50. Nishaurini njia nzuri ya kutumia, nikipata option zaidi ya moja nitashukuru.
 
Ni njia nzuri ya kusave cost, itakulazimu ununue server ya uhakika yenye processor ya maana na Ram kama 128GB. Pia chagua device inayoeleweka. Nimeona mtu anatumia N-COMPUTING kwenye hoteli ipo vizuri yaani ina Map resources vizuri.
 
ushauri mzuri sana, hiyo saver yenye 128GB ram sh ngapi na inauzwa wapi
 
Ni njia nzuri ya kusave cost, itakulazimu ununue server ya uhakika yenye processor ya maana na Ram kama 128GB. Pia chagua device inayoeleweka. Nimeona mtu anatumia N-COMPUTING kwenye hoteli ipo vizuri yaani ina Map resources vizuri.
Nimepata server nzuri ambayo ni arround 2.5m ila jamaa wameniwekea na vitu vingine kibao imefika karibu 10m. Ngoja niangalie gharama za Ncomputing
 
Back
Top Bottom