Simu yangu haijawahi kuwa na H+

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Habarini nina simu yangu htc one m9 lakini tatizo lake ni kuwa haijawahi kupandisha nertwot ya internet kufikia H+ Ingawa sehemu niliopo kuna simu zingine zinafika H+ je tatizo ni nini?
 
Wakuu me yangu TECNO_8H tablet yenyewe haina uwezo kabisa wa kuweka H
Nifanyeje naskiaga ku root simu ila sijui manayake
 
Nenda kwenye settings, mobile networks, access points, press button ya chini kushoto (simu nyingine ni button ya kulia) utaona neno new APN. Click hapo. Jaza sehemu mbili tu zinatosha. Name: Andika jina la mtandao unaotumia na neno internet (eg tigo internet) hata ukikosea name haina shida. Sehemu ya pili APN andika internet. Then bonyeza button ya chini kushoto then save. Ukishamaliza tick kwenye hii profile uliyoitengeneza.
 
Back
Top Bottom