God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
natumia pc ya mda kidogo ina 32bit OS kila nikidownload netbeans 32bit inakata ku run labda pengne sijui utaalamu ila nimejaribu kichukua kwa wenzangu sijafanikiwa wana 64bit. naomben mnitumie jaman kwa pm. ntashukuru sana mambo magumu pia nipeni utaalamu wapi nakosea labda. pc ni hp windows7
ndo kwanza naanza na programming.
natanguliza shukrani ndugu zang.
ndo kwanza naanza na programming.
natanguliza shukrani ndugu zang.