Offer! Pd proxy vouchers for 5500 tzs each (only 50 available)

Niaje mazee, nina voucher 50 za pd proxy, ntaziuza 5500 each, na hii sio kwamba ndo bei mpya, resellers wasijenichukia buree, lakini ni kwa voucher 50 tu, zikiisha mtaendelea kununua kwa bei ya awali kutoka kwa reseller zenu, ok kazi kwenu nicheki on my number, oh and I only accept aritel money.

0774101078

Karibuni

Duuh mkuu karibu sana jamiiforums tena maana itabidi nichukue na namba yako ili ukipotea tuwe tunachonga
 
Niaje mazee, nina voucher 50 za pd proxy, ntaziuza 5500 each, na hii sio kwamba ndo bei mpya, resellers wasijenichukia buree, lakini ni kwa voucher 50 tu, zikiisha mtaendelea kununua kwa bei ya awali kutoka kwa reseller zenu, ok kazi kwenu nicheki on my number, oh and I only accept aritel money.

0774101078

Karibuni
  • Da! mkuu ulipotelea wapi?. Kitambo sana hujasomeka hapa jukwaani. Welcome Back mkuu.
 
mkuu karibu sana tulikumiss sana,tunatarajia vitu vipya ulivovigundua huko chimbo!!!
 
Niaje mazee, nina voucher 50 za pd proxy, ntaziuza 5500 each, na hii sio kwamba ndo bei mpya, resellers wasijenichukia buree, lakini ni kwa voucher 50 tu, zikiisha mtaendelea kununua kwa bei ya awali kutoka kwa reseller zenu, ok kazi kwenu nicheki on my number, oh and I only accept aritel money.

0774101078

Karibuni

Hii ndo inakuaje mkuu?
 
jamani wengine hatujajua hii [h=2]Pd proxy vouchers inahusika na kitu gani au ni vouchers kwa matumizi gani natanguliza shukrani[/h]
 
Niaje mazee, nina voucher 50 za pd proxy, ntaziuza 5500 each, na hii sio kwamba ndo bei mpya, resellers wasijenichukia buree, lakini ni kwa voucher 50 tu, zikiisha mtaendelea kununua kwa bei ya awali kutoka kwa reseller zenu, ok kazi kwenu nicheki on my number, oh and I only accept aritel money.

0774101078

Karibuni

'vipi kwa simu inapiga mzigo kama kawa mkuu ni Android samsung galaxy mini 2 GT-S6500D...'
 
got a 20+ bonus, so nimepata voucher zingine 20, na kati ya izo zimebaki 15 bei ile ile walionicheki mwishoni na kuwambia washakosa, wahi sasa usikose tena.
 
thanks brother e2themiza nlikuwa sijui kuhusu hizi pd-proxy ila kwakutaka kujaribu tuu nikanuua hiyo voucher kwa mkuu e2themiza jamaa yuko fresh kwa help & support sasa hivi ni extreme unlimited internet with pd-proxy
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom