Nenda kwenye date/time halafu sogeza mwaka mbele hadi uone mwaka itakapokwamia. Hiyo ishu ya software pia lakini kwa vifaa ambayo havitegemei kupata software update vinaweza kuwa na life span kwa kulingana na mkwamo wa mwaka.
Kwa mfano saa za mkononi (e.g Gshock) zinaishia mwaka 2099. Haziendi mbele zaidi ya hapo. Pia fanya refence ya Y2K
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.