Yajue masafa ya kupata matangazo ya bunge live kwenye satellite....

Hayo ni masafa ya kupata feed ya bunge live kwa wale wenye madish ya satellite, feed hii nasikia ni free to air nadhani wataalamu wa mambo ya satellite watatujuza zaidi hapa Jane Lowassa
 
Kwa taarifa nilizozipata kutoka kwa wataalam wa Bunge ni kwamba:-

Kwa wanaofahamu mfumo wa masafa unakuwezesha wewe mtazamaji kuangalia matangazo wakati wowote unaotaka kwa sababu matangazo hayo ni free to air na yanamfikia mtazamaji popote alipo Afrika tofauti na kupitia vituo vya television ambapo mwenye kituo anaweza kukata matangazo na kujiunga na tukio lingine kwa maslahi ya kituo chake

Kwa taarifa nilizopata ni kwamba vituo vinavyojiunga na matangazo haya hadi sasa ni Star Bunge channeli ya StarTv na TBC2 muda wote wakati bunge likiendelea TBC1, Azam na StarTv wao wanajiunga wakati wa maswali na majibu pekee
 
Back
Top Bottom