Pangah2011
JF-Expert Member
- Apr 29, 2012
- 260
- 213
Wakuu nna tatizo ila sijajua lipo kwenye laptop au charger yake? Niki chomeka adapter taa yake inawaka ila kwenye laptop haionyeshi kuwa ina ingiza.
Nime jaribu kutoa betri nakuchomeka direct lakini imegoma, ila laptop yenyewe inawaka haina tatizo lolote, Sasa sijajua ni chaja mbovu au sehemu yakupokelea power kwenye laptop ndyo mbovu mwenye kujua anisaidi.