Msaada Iphone 4s imetumbukia kwenye maji

Raaj

JF-Expert Member
Feb 10, 2013
205
29
Habari ndugu wana Jf,

simu yangu iphone 4s imetumbukia ndani ya maji kwa muda wa kama sekunde 5 hivi nikafanikiwa kuitoa na kwa bahati nzuri ikaendelea kupiga kazi kama kawa ila tatizo ni kwamba sasa haitunzi moto kabisa tofauti na ilivyokua mwanzo je.

Ni kifaa gani kimeharibika? na inaweza kutengenezwa ikawa inatunza moto kama mwanzo?
 
Back
Top Bottom