Natanguliza shukrani zangu kwenu wanajamii, naomba kufahamishwa nitapata wapi hiki kifaa kwa hapa dar es salaam kiwe na uwezo wa 4G band 20 na band 3 na bei yake tafadhali kwa anaejua
Natumia S6 edge. Nina kama wiki hivi tangu nikose access ya Play store. Kila nikijaribu kuifungua inaishia kunambia 'Couldn't sign In'. Naomba yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili anisaidie...
MSAADA WA KU UPGRADE SAMSUNG NOTE KUIPELEKA KWENYE MARSHMALLOW..KWA ANAEWEZA KUNIELEKEZA CHA KUFANYA PLZ NAOMBA MSAADA...
NOTE:simu nime i root so option ya software update is not available.
Wakuu naombeni mnisaidie kujua kama simu yangu ni feki au original.aina ya simu yangu ni samsung grang 2 duos.niliangalia kwa kutumia na ya TCRA *#06#ikaniletea IMEI hazifanani za nyuma ya cm...
kutoka Vodacom watoe 4G yao, naona watu wanalinganisha speeds za Halotel na 4G. mwenyewe kama mtumiaji wa Halotel bundle ya usiku, nawapenda sana, lakini kulinganisha speeds za 4G na 3G ni kitu...
Sijui ni mimi tu au.? Kwasababu halotel nikiingia ndani tu network inashuka hadi bar 2 au inabaki lakini data inakataa kabisa kufunguka. Nimesha jaribu sehemu kama 3 mikoani lakini ni hivyo hivyo.
Habari wakuu,
.Locky virus amekuwa famous mwaka huu na hadi sasa anasumbua dunia kwa ku encrypt documents na ana ambukiza kwa kupitia email.
Kuna mtu aliyepata solution, zaidi ya hunterspy4...
Kama inavyosomeka hapo juu, nimepatwa na hilo tatzo la simu ukiizima inaandika "custom binary frp lock" kwa maandishi mekundu. Mwenye ujuzi na hili naomba msaada.
Habari wakuu? Nimatumaini mko salama..
Ngoja niingie kwenye mada: wakuu jana (15/05/2016) nimenunua home theatre pale game baada ya kuvitiwa na sample iliyowekwa. Ndugu, nilivochagua hyo bidhaa...
Habari ndugu zangu wa jukwaa hili ninahitaji kufungua website kama ya kupatana,jumia,kaymu n.k kwa mwenye uwezo wa kutengeneza anitajie gharama kama anahofia hapa ani PM
naitafuta powerbank itakayoweza kupandisha chaji wakat naendelea ku surf yenye mAh 30000 na zaid. ninayo ya samsung mAh 16000 lakin naona chaj haipandi nikiwa internet surfing. iwe nzuri kwa...
Hii ni application kwa watumiaji wa samsung smartphone, ni mahususi kwa ajili ya kuangalizia kama simu yako ni original kwa maelezo zaidi na kui download Bonyeza HAPA
LET SEE HOW CREATIVE SMARPHONE USER, TUNGA HASHTAG KALI CLICK LINK CHINI HAPA KUSHINDA
IBUKA NA HASHTAG KALI KUHUSU TECNO BOOM J8 - TECNO MOBILE COMMUNITY OFFICIAL FORUM