Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

jaman kwa wale wote ambao ka ugonjwa ketu ni haya magem mazuri na makubwa, hili game ni zuri kiukweli nmeamua kushare nanyi BONYEZA HAPA kuli download #Sayay theCompu3rGUY
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za leo wana JF. naombeni mnijuze eneo gani katika IT lina soko yani ajira zake zipo za kutosha. naombeni mniambie ili niweze ku specialize kwenye hilo eneo. mimi mwanachuo nahitaji mnipe...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habarini.. Kama ilivyo ada, watu wanapendelea games mbalimbali..wengine soka, wengine magari, wengine pikipiki wengine missions.. sijui kwa wale wa hizi flight games... mimi ni mpenzi sana wa...
3 Reactions
96 Replies
10K Views
Hi, eGA kuna issue gani? Naona kuna tatizo la kupata sites za .go.tz mara kwa mara. Ni muhimu wawe reliable kwenye availability ili kuongeza kuaminiwa.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu hizi sim za halotel za batani au cell phone mwenye uwezo wa ku unlock anisaidiee plz....!
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Nimeshafungua acount ya hulkshare nakuweka baadhi ya sauti nizitakazo shida nipale ninapotaka kushare katika blog yangu ndio ninapokwama. Kushare katika facebook na twitter naweza Msaada wenu Wakuu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna wakati unataka kufungua page au website yoyote kwa haraka kwenye simu yako lakini unakuta ndo kwanza browser ya simu yako inakuwa slow sana kiasi kwamba unaweza kukata tamaa au gafla simu...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu! ningependa juu kwa urefu zaidi kuhusu hii language ya erlang?
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii simu ilidumbukia kwenye maji baada yakuitoa nakuikausha ikawa inawaka nakuishia kwenye ile Logo ya Expirince smartlife now.. Haiendelei tena.. Nimejaribu kuhard reset imegoma nimejaribu...
0 Reactions
1 Replies
873 Views
Wakuu naomba mnisaidie elimu hapa, simu yangu ni microsoft lumia 535 na haitunzi charge haswa kama nikiwa safarini nakuwa naishiwa charge kabla sijafka. Naomba mnijuze ni aina gani ya power bank...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Nimefight kweli kutafuta cracked idm kila site hola,wengine wanasema craked ukidownload serial key needed jamani,,,watalam mwenye direct link anipe nisisumbuke na sitaaupdate tenaa dah mateso gani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
jamani msaada kwa wenye uelewa na hili suala. Nina laptop aina ya Hp probook 6570. Huwa nikiweka cursor kwenye alama ya bettery inaonyesha hivi Bettery #1 Bettery #2 Sasa hili betri namba two ni...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za Leo wapendwa Napenda kujua mwenye utalamu was kutengeneza umeme was mbolea (Mavi ya ng,ombe anisaidie Nataka anijuze kuwa anaweza kunitengezea umeme huo kwa tsh. Ngapi Nimechoshwa...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Jamani mimi ni mwanafunzi wa chuo cha ATC nasoma telecomunication and electronics. Natafuta field sasa kuna kampuni inaitwa CAM SAT sijui ipo wapi, nataka nikaombe hapo. Jamani nisaidieni wiki...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Wanajamvi habari za kazi, Nina laptop dell Insporon 5050, nikijaribu kuconnect wireless network inaconnect lakini hai acces internet. Inaniambia connected lakini no internet acces nimejaribu...
0 Reactions
1 Replies
822 Views
Hatimae whatsap leo alfajiri na mapema imenidai update na kuonekana ktk muonekano mzuri kiupande fulan.
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Kampuni ya simu ya Tecno ni moto mkubwa katika kampuni kubwa mama ya Transsion Holdings ambayo makao yake makuu yapo nchini Uchina, kampuni hii ilianzishwa ikiwa July 2006. Kampuni ya simu ya...
2 Reactions
0 Replies
7K Views
SASA UNAWEZA TUMIA WHATSAPP SAMBAMBA KWA SIMU JANJA NA KOMPYUTA YAKO Kampuni mama ya mtandao wa facebook imetangaza muendelezo wa mbadiliko mazuri mapya kwa mtandao wa mawasiliano unaotumika...
2 Reactions
50 Replies
8K Views
Pata Anti-virus aina ya Kaspersky bure kabisa kutoka hii link Bring the Friend Unajua kuwa kwa siku Kaspersky inakamata virus 315,000 kila siku? Jilinde sasa Bring the Friend
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Haijawahi kukutokea kutamani kuwa na akaunti zaidi ya moja za Facebook, Whatsapp, Instagram na Messenger katika simu moja? Hujawahi kutamani kuwa na akaunti zaidi ya moja katika tovuti zinazotoa...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…