Nilitumia avg program baada ya kubadili line cm ikajilock, kwa bahati mbaya ipo offline nimejaribu kurudisha line ya awali bado inadai password nikiweka password haikubali. Msaada please kwa ajuae...
Habari zenu wadau,
**Niliweka thread ya kwanza naona haikuwekwa hewani labda kuna yasiyowapendeza mods, kwa hyo hii ni edited, kwa ambao hawakubahatika kuisoma ya kwanza idea ilikuwa ni facebook...
Wadau Kama mada inavyosomeka hapo juu mim ni mtumiaji mzuri wa bidhaa za kampuni ya Apple.... Nilivutiwa sana baada ya kusikia kua bidhaa haziathiriki na Viruses... Nimetumia simu za kampuni hio...
Vitu vyote vinavyohusina na simu kutoka kampuni ya Simu vya simu yao mpya aina Samsung
galaxy Active inakuja kama mwendlezo wa simu waliyoitoa tayari ya Samsung galaxy S7 Vimevuja.
Tetesi...
Nahitaji software yenye database kwa ajili y pharmacy.
Nataka nianze ku-store information digitally kuhusu bidhaa zilizotoka, zinazoingia expiration date na mauzo kwa ujumla.
Microsoft Corp announced morebig cutsto its smartphone business on Wednesday, just two years after it bought handset maker Nokia in anill-fated attempt to take on market leaders Apple and...
Kuanzia jana usiku mpaka leo nimeweka Mb 500 mara tatu kitu ambacho si cha kawaida maana sina matumizi ya kiasi hicho mwanzoni Mb 500 zilikuwa zinakaa mpaka siku tatu. Sasa sahiv ndo hatari zaidi...
Wakuu nahitaji msaada kama kichwa kinavyojieleza naomba kama umeshawahi kufanya kazi ya blogs unipm kuna vitu nahitaji kuvifaham juu ya blogs na jinsi ambavyo unaweza kuingiza kipato kupitia...
Habari za siku wakuu?
Natumai ni wazima wa afya kabisa,
Kama title inavyojieleza naomba msaada nina siku ya tano kama sio ya sita meseji hazingii wala hazitoki
Kama kuna Code au pin za kufungua...
Wana J.f naomba msaada,hizi keypads za simu yangu(htc) huwa zinapotea kabisa...ila niki restart hii android yangu zinarudi kwa muda na kupotea tena....nisaidieni mwenzenu bila kuchangia humu naumwa!
Leo Microsoft wamewafukuza kazi watu 1,800 waliokuwa wanashughulika na kutengeneza simu za WP kwa upande wa hardware.
Hii ni ikiwa asilimia ya wanunuzi wa WP duniani wakiwa wameshuka chini ya...
Habari zenu wanajamvi.
Mimi ninatumia simu aina ya techno c8 niliiroot kwa kutumia app ya kingroot na ikafanikiwa kufanya kazi, lakini tatizo linalonisumbua ni kila baada ya saa moja hivi...
Habari inayosumbua mtaani ni kuhusu simu feki, na serikali nayo imeshindwa kuweka wazi (kwa uzembe/kutokujua) baadhi ya mambo kuhusiana na IMEI numbers vs Mobile manufactures.
Asilimia kubwa ya...