kikawaida kwenye cv Honors/awards zinakuwa ni zile tuzo ulizozipata wakati unafanya kazi au hata kwenye maisha yako ya kawaida. mfano unakuta mtu amewahi kuwa mfanyakazi bora CRDB kwa miaka mitatu mfululizo basi kwenye cv yake upande wa awards ataandika kuwa amewahi kuwa mfanyakazi bora mara 3 kwenye bank ya CRDB
ila unaweza kuta hapo wamemaanisha kitu chengine hakuna documentation yoyote kwenye hio site inayoelezea maana ya kila kipengele
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.