Nashukuru TiGo.....!!!

Nashukuru TiGo.....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,257
Reaction score
22,138
Jana usiku nimepakua vitu vya maana plus apps za kutosha for free
uploadfromtaptalk1464239391772.jpeg
 
Dah Yaani nikae macho paka saa 6 usiku kisa nisubiri free downloads .. Kweli nimeamini bure ni ghari sanaaa..
Pole mkuu, sisi tuna autoruns na tasks schedulers, pole kma still uko age ya kusubiri
 
Ooh pole unakesha usiku kwa ajili ya ku download bure. Unanikumbusha miaka ilee ya hakuna kulala simu mnapigiana usiku wa manane. Mbona nowdays free Wi-Fi ziko nyingi tu maofisini mkuu? Yani unapakia na kupakua unavopenda.
 
Kwel mkuu but ume neglect the fact that sio wote tuna access ya kupata hizo free Wifis kwa ma office maana mikate yetu yakila siku haiinvolve physical office
 
Ooh pole unakesha usiku kwa ajili ya ku download bure. Unanikumbusha miaka ilee ya hakuna kulala simu mnapigiana usiku wa manane. Mbona nowdays free Wi-Fi ziko nyingi tu maofisini mkuu? Yani unapakia na kupakua unavopenda.
Siyo kila mtu yuko ofisini mkuu
 
Back
Top Bottom