God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
Kampuni ya hp baada ya mafanikio makubwa inayopata kwa computer zake (desktop/laptop) pamoja na vifaa vingine kama tablets n.k soon mwezi wa sita watatoa simu yao matata sana inaitwa hp elite x ambapo hizi ni baadhi ya specification zake kali kweli hadi nkaipa tano.
OS window 10
chipset snapdragon 820
battery 4150mAh halafu ni removable
RAM 4GB
internal memory 64GB
camera, main 16MP na front 8MP
Dual sim pia LTE technology.
Naona biashara ya simu itakua na ushindani sana tayari tuna apple, microsoft, samsung, lenovo, assus, toshiba yani ushindani ni hatari mno.
Tuone nani atafanikiwa zaidi.
OS window 10
chipset snapdragon 820
battery 4150mAh halafu ni removable
RAM 4GB
internal memory 64GB
camera, main 16MP na front 8MP
Dual sim pia LTE technology.
Naona biashara ya simu itakua na ushindani sana tayari tuna apple, microsoft, samsung, lenovo, assus, toshiba yani ushindani ni hatari mno.
Tuone nani atafanikiwa zaidi.