Nokia 5130 express music

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,240
1,794
Haka kasim bado nakapendaga tangu nikatumie 2013 navutiwa umbo lake la utelzu ntakapatawapi sasa kakaiwa kapya

1463262835795.jpg
1463262848723.jpg
 
Yaani umenikumbusha mbali sana. Nakumbuka matumizi ya "flash messages". Yaani message ambayo haijisevu kwenye message app mfano ni kama zile za kuangalia salio ukishasoma ukitoka na msg haipo. Inasaidia kitoweka ushahidi.Yaani nokia walikuwa vizuri.
Nimejaribu apps za android ni mizinguo tu.
 
Kuna Nokia E51 hii simu niliinunua bei mbaya sana bahati mbaya ikadondoka nikiwa kwenye daladala yaani naimiss mno. Niliionaga mahali ila bei ilikua Kali sana 350000 mwaka jana
 
Kuna Nokia E51 hii simu niliinunua bei mbaya sana bahati mbaya ikadondoka nikiwa kwenye daladala yaani naimiss mno. Niliionaga mahali ila bei ilikua Kali sana 350000 mwaka jana
Ebwna hiyo E51 ndio nilikuwa nakatumia kabla sijakatumia haka ka expressMusic,iko ka simu internet yake imetulia.
 
Kuna Nokia E51 hii simu niliinunua bei mbaya sana bahati mbaya ikadondoka nikiwa kwenye daladala yaani naimiss mno. Niliionaga mahali ila bei ilikua Kali sana 350000 mwaka jana
Mimi nilikua na E-61 kilikua ni chuma kweli,sasa hivi kiko kabatini tu
 
Naweza kuiza kama utaridhika nayo. Naonaa tabu kuipeleka kwa fundi. Imearibika spika na betri halikai na chaji sana.
Naomba nitumie picha za hio simu pm mkuu. Nione imechakaa how much nitathmini gharama za repair.
Nahitaji sana simu za Nokia.
Hapa nilipo nina Nokia X2:02 toka 2010
Huwa nabadilisha tu housing.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom