Jinsi ya ku update android

wamisako

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
917
871
Jamani anae faham jins ya ku apdate android mfano unataka ku update toka android 4.4.1 kwenda android 5.1
 
Sio rahisi kiivyo inategemea na simu husika maana sio simu zote za Android waweza ku update kwenda lollipop ni simu chache sana na asilimia kubwa za hizo chache ni zile simu za bei ya juu..
 
Ndio yako inafaa maana hiyo simu upo upgradable hadi Lollipop 5.0. Na kwa kutumia Custom rom unaweza pata hadi latest Marshmallow 6.0 sema utapoteza features flani za HTC
Nafikiri nahitaji kukutafuta nimekutumia pm
 
Na Sony Xperia z2 inapata update ya marshmallow lini
Bado aijajulikana maana kuna Marshmallow beta wanatest kwenye devices tofauti, ambapo pia yako ipo na wakisha fix matatizo yote.. Kwa sasa wanataka kuupdate hiyo beta.. Kila kitu kikienda sawa Stable version itakufikia bila shaka
 
Vipi note 4 inafaa kwenda 6.0 mkuu?
Update hiyo bado ipo in development kwa sasa..

Kwa wenye Samsung devices muwe mnapitia hii site mara kwa mara maana inatoaga update zote na inaonyesha kama zipo tayari au bado..

Official Samsung® Android Updates & Firmwares

Pia ni vizuri sana kujifunza kutumia application inayoitwa Odin maana mara nyingine update Samsung wanazitoa lakini kuna region nyingine hawa pati mpaka miezi ipite lakini (kwa mfano Samsung wametoa Firmware ya Marshmallow ya s6 lakini kwa Bro wangu ukisearch inasema 5.1.1 ndio latest version so nikamflashia manually 6.0.1 kwa Odin) unadownload na kuinstall mwenyewe bila shida.
 
Back
Top Bottom