Jinsi ya Kuunganisha Laptop ionekane kwenye TV kupitia HDMI

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,522
24,010
Nimehangaika toka asubuh sijafanikiwa kupata solution. nmenunua CABLE YA HDMI ili niwe na connect laptop kudisplay kwenye TV SAMSUNG sijafanikiwa. my laptop ni toshiba c850 windows 7 32 bit ndo ninayotumia. kama kuna mdau anaweza kusaidia tafadhari aweke ujuzi hapa.
 
TV umeweka kwenye display source ya HDMI, kama ndio huwa inaconnect automatically. Otherwise, kwenye pc nenda control panel>appearance and personalization>display>connect a projector/project to second screen
 
Yaani mi kila siku nawaunganishia wadogo zangu hapa waangalie movie kutoka kweny pc kwenda kwa tv, ule waya nautumia kwenye king'amuzi kila siku, ila napotaka kuangalia ninachomoa tuu kutoka kwenye king'amuz na kuchomeka kwenye pc na mambo yanakua murua wala hakuna setting zozote kwenye hii ya kwangu.
 
Back
Top Bottom